NMB KANDA YA MASHARIKI YAMUENZI BABA WA TAIFA MWL. NYERERE KWA KUFANYA MAZOEZI NA VIKUNDI VYA JOGGING

Askari wa vikosi vya ulinzi na usalama wakifanya Jogging katika mji wa Morogoro jana Oktoba 14 katika kuadhimisha Kumbukizi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

.
Wafanyakazi wa Bank ya NMB kanda ya Mashariki pamoja na Askari wa Ulinzi na Usalama wakifanya mazoezi kujiweka sawa kiafya katika mji wa Morogoro jana Oktoba 14 katika kuadhimisha Kumbukizi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Wafanyakazi wa Bank ya NMB kanda ya Mashariki wakifanya Jogging katika mji wa Morogoro jana Oktoba 14 katika kuadhimisha Kumbukizi ya Mwalimu Julius Kambarage NyerereWafanyakazi wa Bank ya NMB kanda ya Mashariki wakipata picha ya pamoja katika mji wa Morogoro jana Oktoba 14 katika kuadhimisha Kumbukizi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post