1 Comments

This is received, thanks for your comments, will come back to you

  1. Tafadhali tunakuomba uirekebishe taarifa yako inayohusiana na ukamatwaji wa gari ya kubebea maji(water bowser) katika mradi wa ujenzi wa barabara inayoanzia Njombe mpaka Moronga (Km 53.9).
    Kampuni ya CRSG haihusiki na tukio hilo kwani CRSG inajishughulisha na ujenzi wa barabara kuanzia Moronga mpaka Makete. Kampuni inayojishughulisha na ujenzi wa barabara kuanzia Njombe mpaka Moronga Km 53.9 ni CHICCO. Tafadhali tunaomba taarifa hii kuwekwa sawa na tutachukua hatua za kisheria kwa upotoshaji huo ambao unaweza kuichafua kampuni ya CRSG aidha kwa kutokujua au kwa makusudi.

    HR CRSG MORINGA-MAKETE ROAD CONSTRUCTION PROJECT(KM53.5)

    ReplyDelete