RAIS DKT MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA JIMBO LA MTAMA WAKATI AKIWA NJIANI KUELEKEA WILAYANI RUANGWA MKOANI LINDI

Wananchi katika Jimbo la Mtama wakishangilia baada ya Rais Dkt John Magufuli akizungumza nao akiwa njiani kuelekea katia jimbo la Ruangwa.

Wananchi wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi wakishangilia kwa furaha wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika Jimbo la Mtama mkoani Lindi. PICHA NA IKULU
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Lindi vijijini katika jimbo la Mtama (hawaonekani pichani) mkoani Lindi wakati akielekea katika Jimbo la Ruangwa

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post