BENKI YA I&M MAKAO MAKUU NA MATAWI WALIVYOSHEHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
byPORI KWA PORI -
Benki ya I&M Tanzania makao makuu maktaba square Dar es salaam na baadhi ya matawi yake ya Dar es salaam na mikoani, Arusha, Mwanza na Moshi, walivyosheherehekea Siku ya Wanawake Duniani, Machi 8 mwaka huu wa 2022