Dkt Tulia ateuliwa kugombea Uspika

Kamati Kuu ya CCM iliyoketi leo Januari21,2022 Jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake Rais Samia Suluhu Hassan, inemteua Dkt Tulia Ackson kuwania nafasi ya Uspika kumrithi Job Ndugai aliyejiuzulu

 

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post