Viongozi mbalimbali wakimsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza baada ya kushuhudia utiaji Saini Mkataba wa Mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Makutupora (Singida) hadi Tabora chenye urefu wa Kilometa 368 katika kipande cha tatu cha mradi huo (Lot III), Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo Disemba 28, 2021. Aliyevaa sare ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka. (Picha zote na Ikulu) |