"DIT ITAFIKA MBALI KATIKA MASUALA YA TEKNOLOJIA" PROF. KONDORO

 Aliyekua Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), John Kondoro amesema anaamini DIT itafika mbali katika masuala ya Teknolojia 

"Kufika mbali ni pale ambapo prodakti zako zinakubalika, na hii iko kwa namna nyingi,  kwanza wanafunzi kukubalika na baada ya kuhitimu na kuingia sokoni, kuna matokeo ya tafiti zinazofanywa DIT kukubalika kwa kutumika kama suluhisho katika kutatua  mambo mbalimbali, na pia bidhaa za tafiti husika kukubalika zinapoingia sokoni. Haya yote ni mafanikio makubwa" anasema profesa Kondoro.


Profesa Kondoro analiwataka DIT pia kuangalia soko linataka nini na kutoa kwa wakati. This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post