
Hata
hivyo, Viongozi hao wameachiwa kwa dhamana na Chama chao kupitia
Mtandao wa Twitter kimedai walifanya Mkutano wa ndani usiohitaji kibali
Viongozi
hao waliripoti Polisi asubuhi ya leo kuitikia wito wa Mkuu wa Upelelezi
wa Makosa ya Jinai (RCO) wa Mkoa wa Kaskazini Pemba