
Chama
cha ACT -Wazalendo nchini Tanzania kimefungua pazia kwa wanachama wake
wanaotaka kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kuchukua fomu.
Nafasi
zitakazogombewa ngazi ya Taifa ni kiongozi wa chama, naibu kiongozi,
mwenyekiti wa Taifa, makamu mwenyekiti Taifa - Tanzania Bara na
Zanzibar, katibu mkuu, wajumbe wa halmashuri kuu (nafasi 15) na wajumbe
wa kamati kuu (nafasi nane)

