BENKI YA CRDB YATWAA TUZO YA NBAA 2018

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Amina Khamis Shaabani, akimkabidhi Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Benki ya CRDB Tuzo ya Benki Bora katika utayarishaji wa ripoti za kifedha kwa mwaka 2018, iliyotolewa na Bodi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu (NBAA). Hafla ya kukabidhiwa tuzo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Meneja Mwandamizi Idara ya Fedha, Hemed Mkuku na Mkuu wa Idara ya Fedha na Utawala Kampuni Tanzu ya Bima, Abdallah Mrisho. (Na Mpiga Picha Wetu).
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Amina Khamis Shaabani, akimkabidhi Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Benki ya CRDB, Godfrey Sigalla, Tuzo ya Benki Bora katika utayarishaji wa ripoti za kifedha kwa mwaka 2018, iliyotolewa na Bodi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu (NBAA). Hafla ya kukabidhiwa tuzo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mkuku wa Idara ya Fedha na Utawala Kampuni Tanzu ya Bima, Abdallah Mrisho.
Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Benki ya CRDB, Godfrey Sigalla, Mkuu wa Idara ya Fedha na Utawala Kampuni Tanzu ya Bima, Abdallah Mrisho, Meneja Mwandamizi Idara ya Fedha, Hemed Mkuku na Afisa wa benki hiyo, Edwin Nchimbi.
Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Benki ya CRDB, Godfrey Sigalla, Mkuu wa Idara ya Fedha na Utawala Kampuni Tanzu ya Bima, Abdallah Mrisho, Meneja Mwandamizi Idara ya Fedha, Hemed Mkuku na Afisa wa benki hiyo, Edwin Nchimbi wakiwa na tuzo waliyokabidhiwa.
Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na washindi.
Mkuu wa Idara ya Fedha na Utawala Kampuni Tanzu ya Bima, Abdallah Mrisho (kushoto), akiwa na Meneja Mwandamizi Idara ya Fedha, Hemed Mkuku.
Meneja Mwandamizi Idara ya Fedha Benki ya CRDB, Hemed Mkuku, akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupokea tuzo ya Benki Bora katika utayarishaji wa ripoti za kifedha kwa mwaka 2018, iliyotolewa na Bodi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu (NBAA)
Meneja Mwandamizi Idara ya Fedha Benki ya CRDB, Hemed Mkuku,akionesha tuzo iliyopata benki hiyo.
Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Benki ya CRDB, Godfrey Sigalla (kushoto), akibadilishana mawazo na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Lughano Kusiluka.

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post