WAGENI MBALIMBALI KUTOKA NCHI ZA SADC WATEMBELEA BANDA LA (MSD) KATIKA MKUTANO WA MAWAZIRI WA AFYA


Bw. Marco Masala Meneja Manunuzi Bohari ya Dawa (MSD) kwa nchi za Jumuiya ya Kiuchumi ya (SADC) akitoa maelezo kwa Beatrice Kasakati wa Malawi na Thenisi Gawa kutoka Mbabane Eswatini  wageni waliotembelea katika banda la taasisi hiyo kwenye maonesho kando ya Mkutano wa Mawaziri wa Afya na Ukimwi wa SADC unaofanyika katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) jijini Dar es salaam
Beatrice Kasakati wa Malawi moja wa maofisa wanaohudhuria katika Mkutano wa Mawaziri wa Afya na Ukimwi wa (SADC) akisaini kitabu cha wageni katika banda la Bohari ya Dawa MSD wakati alipotembelea banda hilo.
Thenisi Gawa kutoka Mbabane Eswatini akisaini kitabu cha wageni katika banda la Bohari ya Dawa (MSD) wakati alipotembelea katika banda hilo.
Beatrice Kasakati wa Malawi na Thenisi Gawa kutoka Mbabane Eswatini  wageni waliotembelea katika banda la taasisi hiyo kwenye maonesho kando ya Mkutano wa Mawaziri wa Afya na Ukimwi wa (SADC) unaofanyika katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) jijini Dar es salaam wakimsikiliza Bw. Marco Masala Meneja Manunuzi Bohari ya Dawa (MSD) kwa nchi za Jumuiya ya Kiuchumi ya (SADC)

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post