VODACOM TANZANIA PLC YAWAFIKISHIA HUDUMA KARIBU WATEJA WAKE MJINI ZANZIBARMkurugenzi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, Dkt. Mzee Suleiman Mndewa akikata utepe kuzindua duka jipya la Vodacom  lililoko jengo la Muzamill Centre, Mjini Zanzibar. Kushoto ni Kaimu Mkuu wa mauzo wa Vodacom Kanda ya Dar Es Salaam na Pwani, George Venanty na Saleh Omar Alsheikh
Kaimu Mkuu wa mauzo wa Vodacom Kanda ya Dar Es Salaam na Pwani, George Venanty akielezea huduma zinazotolkewa na duka hilo kwa Mkurugenzi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, Dkt. Mzee Suleiman Mndewa kabla ya kukata keki ya uzinduzi.
Wafanyakazi wa duka jipya la Vodacom lililoko jengo la Muzamil Centre, Mlandege mjini Zanzibar wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Keki inayoashiria uwepo wa mtandao wenye  kasi ya 4G kutoka kampuni inayoongoza kwa mapinduzi ya kidijitali ya Vodacom Tanzania Plc mjini Zanzibar

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post