KIPCHOGE MKENYA MWENYE ASILIA YA LONGIDO NCHINI TANZANIA AWEKA HISTORIA MPYA YA DUNIAEMMANUEL MBATILO
Mwanariadha kutoka nchini Kenya mwenye asilia ya Longido nchini Tanzania Eliud Kipchoge amekuwa mwanariadha wa kwanza duniani kutumia chini ya saa 2 kumaliza mbio za marathon (Kilomita 42).

Mwanariadha huyo ametimiza ndoto yake na kuweka rekodi mpya ya dunia leo nchini Austria akitumia saa 1, dakika 59 na sekunde 40.2 (1:59:40.2) kwenye mashindano maalum ya INEOS 1:59 Challenge.

Kipchoge amevunja rekodi yake binafsi ya kutumia saa 2:01::39 aliyoiweka mwaka jana kwenye Marathon ya Berlin.

Tanzania inajivunia mwanariadha huyu kutokana na umahiri wake wa kukimbia katika ukanda wa Afrika Mashariki. 

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post