ZIARA YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU MALINYI, MOROGOROWaziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwasalimia  na Mkuu wa Wilaya ya Malinyi, Majura Kasika, kwenye jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi, mkoani Morogoro, Septemba 16.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiweka jiwe la msingi, wa jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi, mkoani Morogoro, Septemba 16.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi, baada ya kukagua na kuweka jiwe la msingi, la jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi, mkoani Morogoro, Septemba 16.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post