Waziri Dkt. Mwakyembe Atembelea Vituo vya Michezo na Sanaa Jijini ArushaWaziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akipata maelekezo kutoka Mkurugenzi wa Upendo Friends Sports Academy Bibi. Isabella Mwampamba (kulia)alipotembelea kituo hicho ambacho kinahasanisha katika kukuza na kuendeleza vipaji vya watoto katika sekyta ya michezo jana Jijini Arusha.
Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa mpira wa miguu wa Upendo Friends Sports Academy jana Jijini Arusha.
Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akimpa kikombe cha  mchezaji bora kutoka shule Msingi ya Sinoni Gervas Jackson (kushoto) jana Jijini Arusha.
Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (Mwenye kofia) akiangalia ukumbi wa sinema uliopo katika kituo cha Cultural Heritage kilichopo Majengo Mbauda Jijini Arusha kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hicho Bw. Saifuni Khanbhai.

Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Cultural Heritage Bw. Saifudin Khanbhai (kulia) akimuonyesha picha iliyochorwa ya Nyati  Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (Kushoto) alipotembelea kituo hicho jana Jijini Arusha. 

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post