Safari ya Mwisho HAYATI Edward LOWASSA, Rais Dkt Samia amsifu LOWASSA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka udongo kwenye kaburi la Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua kwenye kaburi la Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa katika mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa Marehemu Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye mazishi ya Hayati Edward Ngoyai Lowassa yaliyofanyika nyumbani kwa Marehemu Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akisalimiana na Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM, Paul Makonda 
Majane wa Marehemu, Mama Regina Lowassa, akiwek shada la maua kwenye kaburi pa mume wake mpendwa Hayati Edward Lowassa, wakati wa Ibada ya mazishi, iliyofanyika nyumbani kwake Kijiji cha Ngarash wilaya ya Longido leo Februari, 17, 2024.
Mawaziri wakifuatilia mazishi ya Edward Lowassa
Viongozi wakuu wa nchi, Makamu wa Rais Philip Mpango, Rais wa Zanzibqr Dr Hussein Mwingi na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakifuatilia ibada ya mazishi 
Katibu Mkuu wa CCM Dkt Emmanue Nchimbi akishihudia safari ya Mwisho ya Edward Lowassa

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua kwenye kaburi la Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa katika mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa Marehemu Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024.Hayati Edward Ngoyai Lowassa, amefariki dunia Februari 10, 2024, katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete ya Jijini Dar es salaam, alipokuwa akipatiwa matibabu.

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post