MJANE ALIYEHUKUMIWA MIAKA 22 IRINGA AACHIWA HURU

 


Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Iringa imemwachia huru mjane Maria Ngoda mkazi wa Isakalilo katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa aliyekuwa amehukumiwa na mahakama ya hakimu mkazi Iringa kifungo Cha miaka 22  jela kwa kosa la kukutwa na Vipande 12 VYA Nyama ya Swala.


Rufaa ya Mjane Maria Ngoda aliyekuwa akitetewa na chama Cha mawakili Tanganyika (TLS) mkoa wa Iringa hukumu yake imetolewa Leo na jaji Alvin Mgata Leo
.

TAZAMA FULL VIDEO KWENYE CHANEL YA MATUKIO DAIMA TV 

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post