Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika mazishi ya Mwandishi wa Channel Ten, Abdulaziz Ahmed, Mkoani Lindi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya waombolezaji wakati alipowasili nyumbani kwa aliyekuwa Mwandishi wa Habari wa Channel Ten,  Abdulaziz Ahmed na baadaye kushiriki  mazishi ya mwandishi huyo yaliyofanyika kwenye makaburi ya Mitandi mjini Lindi, Machi 14, 2023.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole, Sada Limbenga,  mjane wa aliyekuwa mwandishi wa habari wa Channel Ten, Abdulaziz Ahmed,  nyumbani kwa marehemu  Lindi mjini ambako pia alishiriki kwenye mazishi ya mwanadishi huyo ikwenye makaburi ya Mitandi, Mach 14, 2023. Katikati ni shangazi wa mke wa marehemu, Bibi Ndindi Binti  Abdulaziz.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na waombolezaji nyumbani kwa marehemu Abdulaziz Ahmed, aliyekuwa mwandishi wa habari wa Channel Ten kabla ya kushiriki mazishi ya mwandishi huyo kwenye makaburi ya Mitandi mjini Lindi, Machi 14, 2023. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mwandishi wa Habari wa Channel Ten,  Abdulaziz Ahmed wakati wakielekea kwenye mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Mitandi mjini Lindi, Machi 14, 2023
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akiwa na waombolezaji wengine kwenye mazishi ya  aliyekuwa Mwandishi wa Habari wa Channel Ten,  Abdulaziz Ahmed wakati wakielekea kwenye mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Mitandi mjini Lindi, Machi 14, 2023. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki  mazishi ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa Channel Ten, Abdülaziz Ahmed yaliyofanyika kwenye makaburi ya Mitandi  Lindi mjini Machi 14, 2023. 

 

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post