MKURUGENZI WA TOMA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI ZA MTANDAONI MKOA WA SHINYANGA

Na Mapuli Misalaba, Shinyanga

Mkurugenzi wa Taasisi ya waandishi wa habari mtandaoni (Tanzania Online Media Alliance) TOMA Seif Mangwangi leo amekutana na kuzungumza na baadhi ya waandishi wa habari za mtandaoni Mkoa wa Shinyanga.

Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Mazingira Center Mjini Shinyanga ambapo pamoja na mambo mengine Mkurugenzi Mangwangi ameelezea faida za waandishi wa habari hao kujiunga na Taasisi ta TOMA katika utekelezaji wa majukumu ya kila siku.

Bwana Seif Mangwangi ametumia nafasi hiyo pia kuelezea majukumu ya TOMA katika Tasnia ya habari huku akihamasisha waandishi hao kujiunga na taasisi ya waandishi wa habari mtandaoni (TOMA) ambayo inapokea waandishi wote wenye utayari hapa Nchini.

Taasisi ya waandishi wa habari mtandaoni (Tanzania Online Media Alliance) TOMA inasimamia vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo Blogs na Online Tv katika mikoa mbalimbali Nchini Tanzania kwa kutatua kero na changamoto ikiwa ni pamoja na kutoa fursa mbalimbali kwa waandishi wa habari za mtandaoni.

Mkurugenzi wa TOMA akizungumza leo kwenye kikao cha pamoja na baadhi waandishi wa habari za mtandaoni Mkoa wa Shinyanga Mkurugenzi wa TOMA akizungumza leo kwenye kikao cha pamoja na baadhi waandishi wa habari za mtandaoni Mkoa wa Shinyanga Mkurugenzi wa TOMA Seif akizungumza leo kwenye kikao cha pamoja na baadhi waandishi wa habari za mtandaoni Mkoa wa Shinyanga
Mkurugenzi wa TOMA akizungumza leo kwenye kikao cha pamoja na baadhi waandishi wa habari za mtandaoni Mkoa wa Shinyanga
Mkurugenzi wa TOMA akizungumza leo kwenye kikao cha pamoja na baadhi waandishi wa habari za mtandaoni Mkoa wa Shinyanga

Baadhi ya waandishi wa habari za mtandaoni Mkoa wa Shinyanga wakiwa katika kikao cha pamoja na mkurugenzi wa TOMA katika ukumbi wa Mazingira Center uliopo Manispaa ya Shinyanga.
Upande wa kushoto ni mratibu wa Shinyanga Press Club Bwana Estomain Henry, upande wa kulia ni Mkurugenzi wa TOMA Bwana Seif Mangwagi.
Upande wa kushoto ni mratibu wa Shinyanga Press Club Bwana Estomain Henry, upande wa kulia ni Mkurugenzi wa TOMA Bwana Seif Mangwagi.
Upande wa kushoto ni mratibu wa Shinyanga Press Club Bwana Estomain Henry akiuliza maswali kwa Mkurugenzi wa TOMA Bwana Seif Mangwagi.
Mkurugenzi wa Taasisi ya waandishi wa habari Mtandaoni TOMA Seif Mangwagi akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya waandishi wa habari za mtandaoni Mkoa wa Shinyanga.

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post