Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete akizungumza kwenye ufunguzi wa mkutano wa uchumi wa bluu unaoendelea jijini Dar es Salaam ulioandaliwa na Chuo cha Bahari (DMI).

  Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete kulia akiteta jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Bahari (DMI), Ernest Bupamba, wakati wa ufunguzi wa mkutano wa bluu uliofunguliwa leo jijini Dar es Salaam
Washiriki wa mkutano wa uchumi wa bluu wakiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali mara baada ya kufunguliwa kwa mkutano wa uchumi wa bluu ulioandaliwa na Chuo cha Biashara DMI

Washiriki wa mkutano wa uchumi wa bluu wakiteta jambo wakati wa ufunguzi wa mkutano huo unaoendelea jijini Dar es Salaam ulioandaliwa na Chuo cha Bahari (DMI).

Washiriki wa mkutano huo wakifuatilia hotuba mbalimbali
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete akizungumza kwenye ufunguzi wa mkutano wa uchumi wa bluu unaoendelea jijini Dar es Salaam ulioandaliwa na Chuo cha Bahari (DMI).

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post