Rais Samia aswali sala ya Eid Elf Fitr Kinondoni

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa anatoka katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA uliopo Kinondoni Muslim mara baada ya kushiriki Swala ya Eid El Fitri pamoja na Waumini wengine wa dini ya Kiislamu Jijini Dar es Salaam leo Mei 3, 2022.This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post