Habari katika picha, kamati ya bunge ya sheria ndogo yapokea taarifa ofisi ya waziri mkuu

Katibu wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo Bw.Mkuta Masoli akifafanua jambo wakati wa kikao cha kamati hiyo kilichofanyika katika UKumbi wa Bunge Machi 18, 2022 Jijini Dodoma.

Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo wakifuatilia kikao hicho kilichofanyika katika UKumbi wa Bunge Machi 18, 2022 Jijini Dodoma.

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akizungumza katika Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo kilichofanyika katika UKumbi wa Bunge Machi 18, 2022 Jijini Dodoma.


Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akizungumza katika Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo kilichofanyika katika UKumbi wa Bunge Machi 18, 2022 Jijini Dodoma.


Makamu Mwenyekiti Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo Mhe. Kilumbe Ng’enda akiwasilisha taarifa ya Jedwali la Uchambuzi wa Sheria Ndogo zilizowasilishwa katika Mkutano wa Sita wa Bunge katika kikao hicho.

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akikabidhiwa taarifa ya Jedwali la Uchambuzi wa Sheria Ndogo zilizowasilishwa katika Mkutano wa Sita wa Bunge na Makamu Mwenyekiti wa Kamati  hiyo Mhe. Kilumbe Ng’enda baada ya kikao kilichofanyika katika UKumbi wa Bunge Machi 18, 2022 Jijini Dodoma.

Mkurugenzi Msaidizi  Idara ya Bunge na Siasa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Bw. Ally Mfikirwa akieleza jambo katika kilichofanyika katika Ukumbi wa Bunge Machi 18, Jijini Dodoma 

 

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post