Breaking News, Basi la Kidia one lapata ajali kikatiti

 Na Seif Mangwangi, Arusha Basi la abiria la kampuni ya Kidia one lililokuwa likitokea Arusha kwenda Dar es salaam leo asubuhi limepata ajali katika eneo la Kikatiti Wilayani Arumeru, Arusha.

Arusha Press Club Blog inaendelea kufuatilia taarifa za majerushi na vifo, taarifa zaidi tutawaletea hapo baadae.

1 Comments

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post