Wananchi wakiwa wamefurika kupata elimu kutoka kwa Wataalamu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi na TANROADS leo Novemba 26, 2021 katika maonesho ya wiki ya ' Nenda kwa Usalama Barabarani' yanayoendelea katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Jijini Arusha. |