TIGO NA SELOUS MARATHON 2021

  Na Mwandishi Wetu.

Kampuni namba moja ya Huduma za Kidigitali hapa Nchini kwa kushirikiana na Waasisi wa Selous Marathon Mbio kubwa hapa nchini , imeendelea kuwarahishia Maisha wateja wake ambapo sasa unaweza kujisajili na SELOUS MARATHON kupitia Tigo Pesa LIPA KWA SIMU Njia Rahisi na ya Haraka.


Sasa Lipia Tigo Pesa Lipa kwa simu kwa ku - scan au kupitia Lipa namba 5108755
AU Piga *150*01# lakini pia waweza kutumia Tigo Pesa APP.


This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post