Home RC Mongela afanya ziara ukaguzi wa ujenzi wa barabara ya lami Loliondo- Mto wa mbu byPORI KWA PORI -Wednesday, June 23, 2021 Ngorongoro , ArushaMkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongela pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Mwl.Raymond Mwangwala wamefanya ziara ya kukagua Mradi Mkubwa wa barabara ya Loliondo - mto wa mbu ambayo inajengwa kwa kiwango cha lami Facebook Twitter