ONYESHA KIPAJI CHAKO USHINDE SIMU MPYA YA INFINIX NA DOLLA ZA KIMAREKANI 2000.

 Na Mwandishi Wetu
Mpambano wa #10ya10search unazidi kupamba moto huko Instagram watanzania wenye vipaji vyao wanapambana vikali kuwania pesa za kimarekani dolla 2000, simu mpya aina ya toleo la NOTE na kushuhudia uzinduzi wa simu hiyo utakaohudhuriwa na wasanii maarufu mbalimbali kutoka tasnia ya bongo fleva na kushereheshwa na live performance kutoka kwa mwanadada machachari kwenye industry ya Bongo fleva.

INFINIX STAR ALLIANCE SEARCH inatoa fursa kwa kila Mtanzania mwenye kipaji cha aina yoyote  kuonyesha kipaji chake kupitia Instagram na kisha kuhash tag #10ya10search. Shindano hili la kukuza  vipaji litazawadia washindi 10 simu mpya ya Infinix, kushuhudia uzinduzi na pesa taslimu za Kimarekani dolla 2000 kwa mshindi kwanza, dolla 1000 kwa mshindi wa pili na dolla 500 kwa mshindi wa 3 hadi wa 10.

Mashindano haya ya INFINIX STAR ALLIANCE search yatahitimishwa 2/6/2021. Shirika sasa kipaji chako ndio ushindi wako. Tembelea @infinixmobiletz kufahamu zaidi namna yakushiriki shindano la INFINIX  STAR  ALLIANCE  SEARCH.

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post