Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiaga Mwili wa Hayati JPM

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitokwa na machozi wakati wakati akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam, Machi 20, 2021. Kushoto ni Mkewe Mary Majaliwa.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post