Home DKT PHILIP MPANGO APENDEKEZWA MAKAMU WA RAIS byMatukio Daima -Tuesday, March 30, 2021 DKT. PHILIP ISDOR MPANGORais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Dkt Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais wa #Tanzania na jina lake limepelekwa bungeni kwa ajili ya kuthibitishwa na wabunge. Facebook Twitter