FURAHIA INFINIX HOT 10 PLAY NA OFA KUTOKA TIGO.

 Na Mwandishi Wetu


Dunia imekuwa kama Kijiji kwa sasa ukilinganisha na miaka ya nyuma, upatikanaji wa habari mbalimbali umekuwa

ni rahisi sana basi kama ni faida au hasara tuzihamishie kwenye ukuaji wa teknolojia. Ukuaji wa teknolojia

umepelekea kampuni mbalimbali za mawasiliano na za simu kama Infinix na Tigo kuunganisha nguvu kuhakikisha

kila Mtanzania anaufurahia Ulimwengu wa kidigitali kupitia Infinix HOT 10 Play.Infinix HOT 10 Play ni simu mpya na sifa yake kuu ikiangukia kwenye mAh 6000 za battery zenye kudumu na chaji

kwa muda mrefu na kwa sasa inapatikana katika maduka yote ya simu ikiwa na ofa ya GB18 kutoka Tigo.

Infinix Hot 10 Play sifa zake ziliwekwa wazi rasmi kupitia mtandao wa kijamii @infinixmobiletz 28/1/2021 na jana

kuzinduliwa rasmi Infinix ikishirikiana na Tigo.Afisa  Mahusiano Infinix na Mkumbo Myunga kutoka Tigo wakati wa uzinduzi wa Infinix HOT 10 Play.

“ni simu ya kila mtu, ni simu rafiki kwa wenye kipato cha kati na cha chini, pia ni rafiki kwa wanaofikiria kuingia

katika ulimwengu wa simu janja kwani ni rahisi kutumia na inadumu na chaji kwa muda mrefu”alisema Aisha

Karupa, Afisa Mahusino Infinix.

Furahia ufanisi wa Helio G35 processor unapocheza games na utendaji wake katika application mbalimbali pasipo

simu kupata moto. uwezo wa kuhifadhi vitu/kumbukumbu ni mkubwa. Hot 10 Play inaujazo wa 2GB/32GB na

4GB/64GB zenye nafasi kubwa kwa uhifadhiaji kumbukumbu nyingi sana kama vile picha, video, mziki na kadhalika.

HOT 10 Play ina wigo mpana wa kioo cha nchi 6.82 na kamera yenye selfie 8MP na MP13 nyuma zenye kupiga

picha vizuri pasipo kuhofia aina ya mazingira au wakati.

.

Infinix HOT 10 Play inapatikana katika maduka ya Tigo na Infinix nchini kote.

Kufahamu zaidi bidhaa zao gusa HAPA

Kwa MAWASILIANO:

074460622


This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post