NI BALAA UJIO WA INFINIX HOT10 PLAY

 Na Mwandishi Wetu.

Tumezoea kuona kampuni ya simu ya Infinix kuja na vitu vipya kila mwanzoni mwa mwaka na sasa

tunaelekea kuumaliza mwezi huu wa kwanza pasipo kuona pirikapirika ya aina yoyote yenye kuashiria

ujio wa simu mpya nchini Tanzania huku nchi kama Nigeria tayari wameshazindua simu mpya Infinix

HOT 10 play. Uchelewaji wa Simu hiyo mpya unazua maswali mengi mitandaoni moja wapo ikiwa nini sababu ya simu  hiyo kuchelewa nchini kwetu?

 Lakini kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari kama vile mitandao ya  kijamii inavyodai kwamba Infinix HOT 10play iliyozinduliwa Nigeria ama nchi nyengine za jirani ni tofauti   itayotufikia Watanzania.
HOT 10play zipo za aina tofauti zenye kutofautiana ukubwa upande wa memory (128 + 4, 64 + 4 na 32 +

2) na hili ndio huenda inapelekea Infinix HOT 10play simu yenye kusemekana kuwa na battery yenye

mAh 6000 kuchelewa sokoni.

Vile vile kuna wadau wa Infinix wenye kufuatilia kiundani bidhaa zao wanadai Infinix haijawai

kuwaangusha na wanachofahamu wao mara nyingi Series pendwa ya Infinix HOT 10 utambulisho/ujio

wake huambatana na campaign za sikukuu ya wapendanao ili kuashiria upendo kwa wateja wao hivyo

basi tutegeemeni Infinix HOT 10play wakati wowote kuanzia sasa.

Tembelea https://www.infinixmobility.com/tz/ kufahamu mengi zaidi kuhusiana na bidhaa zao.

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post