INFINIX YAZIDI KUVUNJA REKODI, YAWAFIKIA MASHABIKI WAKE KIMATAIFA.

 Na Mwandishi Wetu.Kampuni pendwa ya simu Infinix Mobility Limited kwa mwaka wa 2020 ilifanya matamasha mbalimbali

yenye kuhusisha zaidi mashabiki (fans) wake. kati ya matamasha yalionekana kukonga nyoyo za

mashabiki ni hii ya kufungia mwaka wa 2020 pamoja Infinix Fanfest na ya HOT 10 Rap Relay Challenge.

Tamasha la Infinx Fanfest lilijumisha wasanii na Fans kutoka nchi mbalimbali kwa pamoja walitengeneza

video isiyopungua dakika 45 iliyoruka live @InfinixMobile ambapo kila mmoja aliweza kuonyesha

uhodari wake ama wao kupitia kuimba, kucheza na jinsi ambavyo mashabiki walivyopata nafasi ya

kushuhudia uwezo ya camera NOTE 8 night mode.

Kutoka nchini Tanzania Tamasha hili liliwakilishwa na msanii hemed (PHD) yeye alipata nafasi ya

kuwafikia mashabiki wa Infinix kupitia wimbo wake pendwa wa Medicine na Kenya iliwakilishwa na

msanii maarufu Octopizo yeye alijumuika na Fans wa Infinix na kuimba nao kwa pamoja.Kwa ufupi night mode ni teknolijia inayopatikana katika camera ya Infinix NOTE 8 yenye Megapixel 64 na

sifa na kubwa ya night mode kupiga picha za usiku zenye uangavu na kuvutia lakini pia ukitembelea app

ya Infinix Xclub utakutana na picha zilizopigwa kupitia teknolojia ya night model kupitia challenge ya

FanFest ambapo mshindi alizawadiwa Infinix NOTE 8.

Kwa mwaka huu wa 2020 kupitia tamasha la FanFest na HOT 10 Rap Relay ambapo mshindi alizawadiwa

Infinix HOT 10 na kuingia katika Guiness world record book. Hii ni ishara Infinix Mobility inatambua na

kuthamini mchango wa mashabiki.

Jiweke karibu na Infinix tembelea https://www.instagram.com/infinixmobiletz/

https://www.infinix.club/


MAWASILIANO

0744606222

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post