TECNO KUWAPA FURAHA WATEJA WAKE KATIKA MSIMU HUU WA SIKUKUU ZA XMAS NA MWAKA MPYA
Kampuni ya simu TECNO inaendelea kuwakumbusha wateja wake kutembelea maduka ya TECNO katika

msimu huu wa Chrismass na Mwaka Mpya. TECNO ilizindua rasmi promosheni ya TUNARUDISHA

FURAHA NYUMBANI terehe 11/12/2020 ambapo mteja atakaye nunua TECNO Camon 16s na Spark 5pro

basi moja kwa moja atakuwa ameingia kwenye droo ya kushindania Mashine ya kufulia, Flat TV, Blenda,

Rice cooker na zawadi nyenginezo hutolewa papo hapo.
TECNO itakuwa ikitangaza washindi wa Promosheni hii ya TUNARUDISHA FURAHA NYUMBANI kwa

awamu mbili, droo kubwa ya kwanza itafanyika tarehe 19/12/2020 ambapo zawadi zitakazotolewa ni

Mashine yakufulia, Gift vocha na package yenye zawadi mchanganyiko za Chrismass na droo ya pili

kuchezeshwa 7/1/2021 kupitia Instagram account ya @tecnomobiletanzania.

Kwa kujikumbusha kwa ufupi TECNO Spark 5pro na TECNO Camon 16s ni matoleo mapya kwa kampuni

ya TECNO lakini pia ni simu pendwa kutokana na uwezo wake katika upande wa camera na

kimuonekano kwa ujumla.

Camon 16s;

Ni simu yenye kamera kali kuzidi simu zote za TECNO nyuma ikiwa na MP 48 na selfie ni MP 16, ukubwa

wa memory ni 128GB+4GB RAM na battery lenye kudumu na chaji wa muda mrefu la mAh 5000.Spark 5pro;

Ni simu inayolenga watu wenye uchumi wa hali zote, inacamera nyenye uwezo wakuchukua picha

wakati wowote haijalishi ni wakati gani na katika mazingira gani, camera ya Spark 5pro ni MP16 na selfie

yenye MP 8, memory ya GB 64+GB 3 RAM huku ikiwa na battery yenye mAh 5000.

Kwa maelezo zaid tembelea https://www.tecno-mobile.com/tz/home/

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post