Ajali ya gari yaua 13 Singida

 

Watu 14 wamepoteza maisha na wengine 13 wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea maeneo ya Kiini cha Mkiwa mkoani Singida baada ya gari ndogo ya abiria kugongana uso kwa uso na Lori lililokua linatoka Dar es Salaam kwenda Kahama.RPC wa Singida, Sweetbert Njewika, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo kwa kile alichodai ni uzembe wa dereva wa gari ya abiria ambae nae amefariki alikua mwendo kasi na kulipita Lori kwa kulichomekea bila kuwa makini.

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post