YANGA YAWATEMA WACHEZAJI 14


Klabu ya Yanga imeamua kuachana na wachezaji wake 14 na kusalia na wachezaji 17 kikosini.
.
WALIOACHWA BAADA YA MIKATABA YAO KUMALIZKA.
1)Mrisho Ngasa
2)David Molinga
3)Jaffary Mohamed
4)Tariq Seif
5)Andrew Vincent Dante
6)Papy Tshishimbi
7) Mohamed Issa "Banka".
.
✔WALIOACHWA/KUSITISHIWA MIKATABA.
1)Ali Mtoni
2)Muharami Issa
3)Ali Ali
4)Yikpe Gislain
5)Patrick Sibomana
6)Erick Kabamba
7)Rapahael Daud 

✔WALIOPO KWENYE MAZUNGUMZO YA KUONGEZA MKATABA.
1)Juma Abdul
2)Kelvin Yondan

✔WALIOBAKI KIKOSINI
1)Farouk Shikalo
2)Metacha Mnata
3)Ramadhan Kabwili
4)Haruna Niyonzima
5)Lamine Moro
6)Bernard Morrison
7)Feiasal Salim
8)Juma Mahadhi
9)Adeyoum Saleh
10)Said Juma Makapu
11)Balama Mapinduzi
12)Deus Kaseke
13)Ditram Nchimbi
14)Abdulaziz Makame
15)Paul Godfrey.

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post