![]() |
| Pamela Mollel akikabidhiwa fomu ya kuwania ubunge jimbo la Arusha |
![]() |
| Pamela Mollel akionyesha fomu aliyokabidhiwa |
![]() |
| Pamela Mollel akisaini kitabu cha wageni katika ofisi za CCM Wilaya ya Arusha |
![]() |
| Mwanahabari Woinde Shizza akipokea fomu kuwania nafasi ya uongozi ndani ya CCM |
![]() |
| Wakili Albert Msando akionyesha fomu aliyokabidhiwa tayari kuingia kwenye mchakato wa kuwania nafasi ya ubunge jimbo la Arusha Mjini |





