TUNDU LISU NJIANI KUREJEA TANZANUA


Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu yupo njiani kurejea Tanzania baada ya kuwa ughaibuni kwa takribani miaka mitatu.

Kupitia mtandao wake wa Twitter muda mfupi uliopita, Lissu amesema kuwa anapanda ndege ya kumalizia safari yake kutoka Adis Ababa, Ethiopia mpaka Dar es Salaam, Tanzania.

Lissu aliondoka Tanzania baada ya kushambuliwa vibaya kwa risasi jijini Dodoma, Septemba 2017 na akakimbizwa kwa matibabu Kenya na baadaye nchini Ubelgiji.#chanzo BBC 

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post