MKUU WA WILAYA YA DODOMA PATROBAS KATAMBI ACHUKUA FOMU CCM KUGOMBEA UBUNGE SHINYANGA MJINI...2015 ALIGOMBEA KUPITIA CHADEMAMkuu wa wilaya ya Dodoma Patrobas Katambi leo Jumatano Julai 15,2020 amechukua Fomu kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mwaka 2015 akiwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Patrobas Katambi aligombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kupitia CHADEMA,hata hivyo Stephen Masele (CCM) aliibuka mshindi kiti cha Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini na mwaka 2017 Katambi alijiunga CCM na baadaye kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Dodoma.
Katibu wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini, Agnes Bashemu akimkabidhi Patrobas Katambi fomu ya kuomba ridhaa kugombea ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini. Picha na Marco Maduhu

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post