Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi
Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria ambapo
Uteuzi huo umeanza leo Jumamosi Mei 2,2020
Dkt. Mwigulu Nchemba ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani anachukua nafasi ya Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga aliyefariki dunia jana Mei 1,2020.
Dkt. Mwigulu Nchemba ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani anachukua nafasi ya Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga aliyefariki dunia jana Mei 1,2020.