MWALIMU WA MAFUNZO YA NDOA, MCHUNGAJI PETER MITI MINGI AFARIKI DUNIATaarifa zilizotufikia hivi punde zinasema Mchungaji Peter Mingi wa Kanisa la Ghala la Chakula (Warehouse Christian Centre-WCC) pia Mkurugenzi wa Voice of Hope Ministry (VHM) inayojihusisha na huduma ya injili vijijini amefariki dunia usiku huu Jumapili Mei 3,2020.
Baada ya kulitumikia kanisa la TAG kwa miaka mingi kama mchungaji msaidizi na baadaye kuanzisha huduma ya injili vijijini - VHM, baadaye Mwalimu na Mchungaji Peter Mitimingi alianzisha kanisa lijulikano kwa jina la Ghala la chakula au kwa Kiingereza Warehouse Christian Centre - WCC jijini Dar es salaam.

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post