Picha : MAZISHI YA ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA YA MTWARA, EVOD MMANDA

Mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda yamefanyika  leo Jumanne Aprili 28,2020 asubuhi eneo la Pemba Mvita  na kuhudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa.


Mazishi hayo yamehudhuriwa na ndugu wachache na kusimamiwa na serikali.

Picha: AzamTv

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post