MAALIM SEIF SHARIF HAMAD AITWA POLISIPolisi Mkoa wa Kaskazini Pemba visiwani Zanzibar limemtaka Mshauri mkuu wa Chama cha ACT- Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad kufika kituo cha Polisi Wilaya ya Wete leo Jumanne Januri 14, 2020 saa tatu asubuhi.
Mbali na Maalim Seif, mwingine ni Mwenyekiti wa Kamati ya Itikadi, Uenezi na Mawasiliano kwa Umma wa chama hicho, Salim Bimani.

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post