| Pichani ni Makamu wa Rais wa chama cha riadha taifa William Kalaghe
akimkabidhi fedha taslim kiasi cha milioni tatu Waziri Mwakyembe zikiwa
ni kwa ajili ya maandalizi ya ushiriki wa wanariadha Failuna Abdi na
Alphonse Simbu kwa ajili ya kambi yao picha na Ahmed Mahmoud Arusha. |