Picha: KATIBU MKUU CHADEMA JOHN MNYIKA APEWA UCHIFU WA WASUKUMA


Katibu Mkuu Chadema, Mheshimiwa John Mnyika leo amesimikwa kuwa Chifu wa Wasukuma na kupewa jina la Maronja likiwa na maana ya MREKEBISHAJI. Mnyika yupo mapumzikoni kijijini kwao mkoani Mwanza.


This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post