NMB YAWAKABIDHI ZAWADI ZA SIMU NA KOFIA WAENDESHA BODABODA JIJINI DAR ES SALAAM

Meneja Mwandamizi Idara ya Kadi NMB, Manfredy Kayala (wa pili kulia) akimkabidhi simu janja mmoja wa madereva wa Bodaboda aliyejishindia baada ya kufanya miamala mingi ya wateja wake kumlipa nauli kwa kutumia akaunti yake moja kwa moja benki. Kulia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Waendesha Bodaboda na Bajaji jijini Dar es Salaam akishuhudia. 

Meneja Mwandamizi Idara ya Kadi NMB, Manfredy Kayala (wa pili kulia) akimkabidhi simu janja mmoja wa madereva wa Bodaboda aliyejishindia baada ya kufanya miamala mingi ya wateja wake kumlipa nauli kwa kutumia akaunti yake moja kwa moja benki. Kulia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Waendesha Bodaboda na Bajaji jijini Dar es Salaam, Michael Massawe. akijiandaa kumkabidhi kofia ngumu iliyotolewa na NMB kama zawadi kwa washindi hao.

Meneja Mwandamizi Idara ya Kadi NMB, Lupia Matta akitoa ufafanuzi kwa wanahabari namna washindi hao nane wa simu janja walivyopatikana. Washindi hao nane ndio waliofanya miamala mingi ya kulipwa na wateja wao kwa kutumia benki kwenye akaunti zao. Aidha aliwahamasisha madereva wa bodaboda waliojiunga na mfumo huo kuendelea kufanya miamala kwani zawadi kubwa ya shindano hilo ni kujishindia pikipiki mpya aina ya Boxer.

Meneja Mwandamizi Idara ya Kadi NMB, Manfredy Kayala (wa pili kulia) akimkabidhi simu janja mmoja wa madereva wa Bodaboda aliyejishindia baada ya kufanya miamala mingi ya wateja wake kumlipa nauli kwa kutumia akaunti yake moja kwa moja benki. 

Mwenyekiti wa Umoja wa Waendesha Bodaboda na Bajaji jijini Dar es Salaam, Michael Massawe (kushoto) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) kuelezea namba Benki ya NMB ilivyowakumbuka pamoja na kurasimisha shughuli zao. Kulia ni Meneja Mwandamizi Idara ya Kadi NMB, Lupia Matta akishuhudia katika hafla hiyo.

Mwenyekiti wa Umoja wa Waendesha Bodaboda na Bajaji jijini Dar es Salaam, Michael Massawe (kulia) akimvisha mshindi wa simu hizo kofia ngumu iliyotolewa na NMB kama zawadi kwa washindi wote nane wa simu janja.

Meneja Uhusiano Idara ya Kadi NMB, Yusuph Achayo (mwenye fulana nyeupe) katikati akipiga picha ya pamoja na washindi hao baada ya kukabidhiwa simu zao leo jijini Dar es Salaam.
……………………………………..

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post