MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) TAIFA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) KILICHOFANYIKA JIJINI MWANZA. DESEMBA 11, 2019

  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Jijini Mwanza. Disemba 11,2019.
  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Jijini Mwanza. Disemba 11,2019.


 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Dkt. Ally mohamed Sheini pamoja na Makamu wa Rais  Mhe. Samia Suluhu Hassan Mara baada ya Kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Jijini Mwanza. Disemba 11,2019.

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally alipowasili kwa ajili ya Kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Jijini Mwanza. Disemba 11,2019.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Katibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally alipowasili kwa ajili ya Kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Jijini Mwanza. Disemba 11,2019.

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post