LIVERPOOL MABINGWA WAPYA WA KOMBE LA DUNIA NGAZI YA VILABU Liverpool waibuka mabingwa wa kombe la Klabu Bingwa wa Dunia, baada ya kuifunga Flamengo ya nchini Brazil bao 1:0 katika mchezo wa fainali.
Roberto Firmino alifunga bao pekee la Liverpool katika mechi hiyo ya fainali iliyopigwa mjini Doha Qatar.
Liverpool imekua timu ya pili kutoka England kushinda ubingwa Wa Dunia kwa ngazi ya vilabu baada ya Manchester United kufanya hivyo mwaka 2008.

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post