MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI (NHIF) MH. ANNE MAKINDA AZINDUA VIFURUSHI VIPYA VYA BIMA YA AFYA “JIPIMIE”


Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anne Makinda akizungumza wakati wa uzinduzi wa vifurushi vipya vya bima ya afya vya Najali Afya, Wekeza Afya na Timiza Afya uliofanyika leo  kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anne Makinda akikata utepe wakati wa uzinduzi wa vifurushi vipya vya bima ya afya vya Najali Afya, Wekeza Afya na Timiza Afya uliofanyika leo  kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo Bw. Bernard Konga na kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi hiyo Tryphone Rutazamba na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii Mh. Peter Serukamba.
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anne Makinda akionesha kadi ya mfano mara baada ya kuzindua  vifurushi vipya vya bima ya afya vya Najali Afya, Wekeza Afya na Timiza Afya uliofanyika leo  kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo Bw. Bernard Konga na kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi hiyo Tryphone Rutazamba na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii Mh. Peter Serukamba.
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anne Makinda akikabidhi kadi ya bima ya afya mara baada ya kuzindua vifurushi vipya vya bima ya afya vya Najali Afya, Wekeza Afya na Timiza Afya uliofanyika leo
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii Mh. Peter Serukamba akizungumza katika uzinduzi huo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo Bw. Bernard Konga akicheza pamoja na wafanyakazi wa mfuko huo wakati msanii Mrisho Mpoto alipokuwa akitumbuiza katika uzinduzi huo.
Baadhi ya wawakilishi wa taasisi za fedha mbalimbali waliohudhuria katika uzinduzi huo.
Baadhi ya wananchi wakiwa katika uzinduzi huo.
Bw. Steven Lusinde Mwenyekiti wa Wamachinga akizungumza na kumshukuru Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuwatambua rasmi na sasa wanaishi kifalme kabisa.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo Bw. Bernard Kongaakizungumza katika uzinduzi huo.
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anne Makinda pamoja na viongozi mbalimbali wakiimba wimbo wa taifa kabla ya uzinduzi huo.
Baadhi ya wafanyakazi wa NHIF wakishiriki kuimba wimbo wa taifa.
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anne Makinda akiwa katika picha za pamoja na makundi mbalimbali na wageni waalikwa waliohudhuria katika uzinduzi huo.

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post