MSANII BEKA FLAVOUR AMTUNGIA WIMBO RAIS MAGUFULI 'HAPA KAZI TU'
byARUSHA PRESS CLUB (A.P.C)-
Msanii
wa Bongo Fleva, Beka Flavour ametunga wimbo maalum kwa ajili ya Rais
John Magufuli na Chama chake cha CCM kwa ajili ya mambo mazuri
aliyoyafanya tangu alipoingia Madarakani.