KELVIN JOHN AJIUNGA NA AKADEMI YA LEICESTER CITY WAKATI AKIENDELEA NA MASOMO ENGLAND

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Kelvin John akiwa na chipukizi mwenzake wa akademi ya Leicester City katika kambi yao, Holmes Park, Belvoir Drive Training Complex jana. Kelvin amejiunga na academy ya Leicester City kufuatia kwenda England kwa masomo

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post